Gari aina ya Coastal T 286 DPC iliyokuwa inasafirisha mashabiki wa Yanga kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza umepata ajali ukiwa Kibaha mkoa wa Pwani, kwa muji wa muandishi wa habari Hatibu kutoka Shutikali TV aliyejeruhiwa kidogo ni mtu mmoja.
Mashabiki hao walikuwa njiani kwenda Mwanza kwa ajili ya kuishangilia timu ya Yanga ambayo siku ya Jumapili ya October 28 2019 itacheza dhidi ya Pyramids FC ya Misri katika mchezo wa kuwania kucheza hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrik