_charasikingKitabu📖Kifunzacho✍🏿Watiifu_
Usiyumbishwe na hiyo amani ya moyo wako/thamani ya mapenzi na upendo unaoonyeshewa na mweza wako/furaha ya maisha yako/endelea kua makini huku ukimuomba mwenyezi mungu akuepushe na mabaya hatakama Huna matatizo yoyote katika maisha yako/maana mabadiliko huwa nihatari Sana yashilikianapo na nguvu za shetani na shetani humuwinda mwenye furaha amani na upendo uliojaa kwenye myoyo au moyo wamtu/na usije fungua kinywa chako ukamdhihaki mtu mwenye matatizo Kama vile migogoro ya mahusiano yake/mwenye matatizo binfsi kwenye maisha yake/mgonjwa mremavu wote usije wacheka na kuwadhihaki Bali wape matumaini ya maisha wape upendo wafurahie uwepo wao kwenye haya maisha manaa kunawengine walikua na amani kwenye mahusiano Yao walikua wazima wafya na timilifu wa viungo vyao ila nimabadiliko2 yamaisha wakajikuta wapo matatizoni kifupi maisha niupendo❤ niite NIITE CHARASIWAVERSE🇹🇿DARASA✍🏿 LINALOTEMBEA