Cheka na machalii wa R-Chugga watengeneza gari nakuendesha mtaani,Meena Ally kapakia
Machalii wa Arusha ambao wamekuwa wakichukua headlines kwa vitu wanavyovifaya, leo wametuonyesha gari walilolibuni nakusema wamefanya hivyo kwa lengo lakudumisha cheki video