Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ametoa pole kwa familia ya Mwanasiasa Mkongwe nchini James Mapalala aliyefariki dunia juzi tarehe 23 Oktoba, 2019 katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Herbert Kairuki Jijini DSM alikokuwa akipatiwa matibabu.
TAZAMA VIDEO
TAZAMA VIDEO