ROMA: “Bakhresa mwenyewe hana baunsa, natamani nimnase vibao, Fid Q, Baunsa analinda nini?


“Sitegemei Mtu kama MwanaFA siku moja ataanza kutembea na mi-camera, na Walinzi 10, Bakhressa mwenyewe tunasali nae hana Baunsa, natamani nimnase vibao, FID Q, Baunsa analinda nini?” hizo ni baadhi ya kauli za Roma Mkatoliki alipokaa kwenye On AIR with Millard Ayo, bonyeza play hapa chini kuitazama yote part II

Previous Post Next Post