Shule iliyotumia Bilioni 11 imekamilika Wananchi wataka iwe Chuo (+video)

Katibu Tawala Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera Kadole Kilugala amekutana na baadhi ya Wananchi wa maeneo hayo ambapo ameeleza mambo ambayo Serikali imefanya ikiwa ni sambamba na kutaja Viongozi ambao wanakwamisha shughuli za maendeleo na kuibua migogoro kwa wananchi wao

TAZAMA VIDEO
Previous Post Next Post