“Zaidi ya Asilimia 80 ya Watanzania hawajui namna kupiga mswaki sahihi ndio maana wanapata matatizo meno kuuma, fizi kutoa damu na harufu mbaya mdomo” ni maneno ya Dr. Mariam Ally Mtaalam wa meno kutoka Hospital Dental Clinic
TAZAMA VIDEO TAZAMA HAPA