Magufuli ampa onyo kali CAG mpya “Usijifanye mhimili, Mimi ndo mwenye Serikali” (+video)

Rais John Pombe magufuli leo November 4, 2019 akimuapisha CAG mpya Charles Kichere “CAG nataka nikueleze kabisa hapa mwanzoni, Katiba inazungumza na Sheria zinazungumza, unaweza ukakaa hiyo miaka 5 ya mkataba wako, unaweza pia ukakaa hata mwaka mmoja kwasababu taratibu za kukutoa zipo na zinafanywa na Rais,ila sikutishi wewe nenda ukachape kazi”

tazama hapaVIDEO



BREAKING: MAGUFULI “USIBISHANE NA BUNGE, CAG USIJIFANYE WEWE NI MHIMILI, MWENYE SERIKALI NIPO”



tazama hapa VIDEO
Previous Post Next Post